Hariri viungo

Tarehe 22 Septemba ni siku ya 265 ya mwaka (ya 266 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 100.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Emerita wa Roma, Morisi na wenzake, Basila wa Roma, Silvano wa Levroux, Fiorensi wa Poitiers, Laudo, Salaberga, Emeramo, Ignas wa Santhia, Augustino Yu Chin-gil n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 22 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .